Msanii
kutoka nigeria ameachia wimbo wake mpya ambao unaenda kwa jina la flora
my flawa ni wimbo wake wa kwanza tangu kufungua mwaka 2018 na kudai
kuwa ni mzuri sana na alikuwa akiusubiria kwa hamu sana ...
Read More »
Msanii
kutoka nchini nigeria ameingia kwenye headline za nchini lagos baada ya
mwanadada shabiki wa damu kabisa kuchora tatoo ya sura ya davido kwenye
kifua chake , na kusema "kuwa yeye anampenda sana davido naa
kudhihiriha ilo ilibidi achore tatoo"...... je mashabiki wa bongo wa
kike wanaweza kuchora picha ya wasanii wanao wakubalii.
pia kuna shabiki mwengine kanyoa mnyoo huu wa sura ya davidooo........
this is love from fans.....
Read More »
Msani
kutoka kenya victoria kimani amejkuta katika wakati mgumu sana kwenye
show yake ya week end hii hii ambapo mavazi alio vaa yaliwapa mashabiki
hamasa ya kutaka kumshika matako ,shabiki mmoja alifanikiwa kushika
matako lakini baunsa alinasa kofi , victoria kimani amesema ayo kwenye
ukurasa wake wa instagram na kumpongeza baunsa kwa kumnsa kofi shabiki
aliyemshika tako.
picha akiwa stajini aki perfom
mashaiki walipo msonga na kumzalilisha
show ilikuwa imejaaza watuuu
akiwa anaondoka kutoka ukumbuni
Read More »
Mpiga
picha maarufu wa msani diamond platnumz amechafua mtandao baada ya
picha zake na hamisa mobetto kusambaa ntandaoni , ati kwamba ni inshala
ya kuwa hamisa na mondi mambo kama zamani na leo alikuwa anpigwa picha
na mfanya kwazi wa baba mtoto wake ,na pia kumfikishia ujumbe zari kuwa
ajiiandae mambo ndo kwanza yanaanzaa.....
Read More »